Return to Index

99

100

Mbona washangaa njiani?

101
SongInstrumental
	

1. Mbona washangaa njiani? Mbona warejea nyuma? Warudi tena gizani Alimokutoa Bwana? 2. Ni ya bure yote haya, Uliyofunzwa ya Mungu? Ni bure amekufia Bwana Yesu kwa uchungu? 3. Wamtia kristo aibu Na maneno yake pia? Siku yaja ya hesabu, Utamjibuje Bwana? 4. Upandapo tena hayo, Halafu utayavuna. Rudi kwa Bwana upesi, Mwombe akupokee tena.