Return to Index

52

53

Wewe umechoka sana?

54
SongInstrumental
	

1. Wewe umechoka sana? Wataka raha? Kwake Yesu utapata furaha. 2. Alama anazo yeye? Sasa! makovu ya mikono, na miguu, Na mbavu. 3. Nacho kimivukwa taji Kichwa cha huba? Alivikwa taji kweli miiba. 4. Huku nikimfuata nipate nini? Maonjo nje na ndani amani. 5. Kwamba namwandama Bwana, Mwisho ni nini? Ni furaha na salama Mbinguni.