Return to Index

75

76

Njoni na furaha enyi wa

77
SongInstrumental
	

1. Njoni na furaha, enyi wa imani, Njoni Bethilehemu upesi ! Amezaliwa jumbe wa Mbinguni; Njoni tumuabudu, njonu tumuabudu, Njoni tumuabudu Mwokozi. 2. Mungu wa waungu, Mwanga wa mianga, Amekuwa radhi kuzaliwa; Mungu wa kweli, wala si kiumbe; Njoni tumuabudu, njonu tumuabudu, Njoni tumuabudu Mwokozi. 3. Jeshi la Mbinguni, Imbeni kwa nguvu, Mbingu zote na zijae sifa; Sifuni Mungu aliye Mbinguni; Njoni tumuabudu, njonu tumuabudu, Njoni tumuabudu Mwokozi. 4. Ewe Bwana mwema, twakubarikia, Yesu, utukufu uwe wako; Neno la Baba limekuwa mwili; Njoni tumuabudu, njonu tumuabudu, Njoni tumuabudu Mwokozi.