Return to Index

10

11

Nina haja nawe

12
SongInstrumental
	

1. Nina haja nawe Kila saa; Hawezi mwingine Kunifaa. Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia. 2. Nina haja nawe; Kaa nami, Na maonjo haya, Hayaumi. 3. Nina haja nawe; Kila hali, Maisha ni bure, Uli mbali. 4. Nina haja nawe, Nifundishe Na ahadi zako Zifikishe. 5. Nina haja nawe, Mweza yote, Ni wako kabisa Siku zote.*