Return to Index

110

111

Neno lako Bwana

112
SongInstrumental
	

1. Neno lako, Bwana, Ni imara sana; Lilo latwongoza, Lilo latufunza. 2. Adui wabaya Wakikaribia, Neno lake Bwana Ni ulinzi sana. 3. Siku za dhoruba Soma ukiomba; Neno lake Bwana Msaada sana. 4. Ukiliamini, Hwenda na amani; Una na furaha Neno ni siraha. 5. Ni furaha kweli, Na wingi wa mali, Neno lake Bwana Kwa wasiokana 6. Neno la rehema, Tukali wazima; Faraja I papo, Tufarikanapo. 7. Tulijue sana Neno lako, Bwana, Hapa tukupende, Kisha kwako twende.