Return to Index

112

113

Ni Mfalme wa mapenzi

114
SongInstrumental
	

1. Ni Mfalme wa mapenzi Ndiye anichungaye, Sipungukiwi, hawezi. Kunipoteza yeye. 2. Kando ya mji mazima Yeye huniongoza Katika malisho mema Daima hunilaza. 3. Mara nyingi hupotea Kwa ukaidi wangu, Naye huniandamia, Hunirudisha kwangu. 4. Uvulini mwa mauti, Siachi hatari kamwe, Wewe Bwana huniachi, Mwokozi wangu wewe. 5. Waniandikia meza Neema kwako tele. Kwa wewe, yote naweza. Na msalaba mbele. 6. Kamwe hautapungua Uule wema wako; Mwisho, atanichukua, Juu, niimbe kwako.