Return to Index

122

123

Nimeketi mimi nili kipofu

124
SongInstrumental
	

1. Nimeketi mimi nili kipofu Gizani nangojea macho; Ewe Bwana Yesu mwenye wokovu, Ondoa dhambi zangu nzito. Huruma hakuna aonaye, Gizani nagojea macho, Sasa nitakase nikusihiye, Yesu, na dhambi zangu nzito. 2. Tangu siku nyingi nimepofuka Natamani uso nikwone; Ewe Bwana Yesu, mwenye baraka Sema neno, basi, nipone. 3. Nimeketi mimi nili na giza, Nami ya kutumai sina; Ili nasikia kunong’oneza, “Kwake Yesu kuna kupona.”