Return to Index

132

133

Ni wako Mungu!

134
SongInstrumental
	

1. Ni wako Mungu! Ni furaha kwangu, Ni raha kumjua mwokozi wangu. Aleluya enzi ndako; Aleluya,Amin. Aleluya,enzi ndako; Rejea Yesu. 2. Mwana wa Mungu Ndiye fungu langu, Na moyo hufurahi kwa Yesu wangu. 3. Raha ya kweli Ina jina hili, Na aliyeshika,ana Mbingu kweli. 4. Nimeingia Mapendano haya, Nimepata uzima na Mbingu pia. 5. Nilipo chini, Ni mwako kazini Hata nije kwako uliko Mbinguni.