Return to Index

138

139

Nuru ya rohoni

140
SongInstrumental
	

1. Nuru ya rohoni ni Bwana Yesu. Nakuomba sana niangazishe; ukanitazame kwa huruma tu, ukanitulize mimi maskini. 2. Futa dhambi zangu kwa damu yako. Hasira ya Mungu iniondoke. Machubuko yako, hata mateso, niyawaze vema rohoni mwangu. 3. Nakutumaini peke yako tu, niwe mtumwa wako pote nilipo utanikubali sina mashaka! Nitakushukuru pasipo mwisho.