Return to Index

139

140

Mahali ni pazuri

141
SongInstrumental
	

1. Mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa, wakipatana vema, na wakipendana. 2. Kama umande mzuri, unyweshavyo shamba, vivyo na Mungu wetu, hubariki ndugu. 3. Upendano hujenga, boma zuri kwao, wakae na amani, waliookakoka. 4. Na ulimwengu wote, watiwa nuruni, halafu kundi moja, na mchunga mmoja tu.