Return to Index

140

141

Pana jito lina maji Mazuri

142
SongInstrumental
	

1. Pana jito, lina maji Mazuri, Yaenda ulimwenguni. Lametameta nalo Linang’aa. Walijua jito hilo? Ninakuita nawe njoo! Utafute jito hilo! Maji yake yapoza Moyo. Nawe yateke unywe. 2. wanywao maji haya wafurahi, waimba kwa shangwe kubwa. Makosa na shida Yanaondoshwa, Wote waoshwa na Bwana. Ninakuita nawe njoo … 3. Jito hilo latoa maji mengi, matamu yapendezayo. Yaponya wagonjwa, Yatia nguvu, Uchafu watakashika. Ninakuita nawe njoo … 4. maji ya jito hilo ni uzima unaotoka Kwa Yesu. Damu yake yenye kiasi kikuu Imemwagwa tusafike. Ninakuita nawe njoo …