Return to Index

141

142

Babangu kule mbinguni

143
SongInstrumental
	

1. Babangu kule mbinguni, aliye juu pa malaika, aangalia njia zangu na kunilinda maisha. 2. Hata unywele kichwani hauanguki ovyo tu na siri zote za moyoni zajulikana kwa Baba. 3. Zamani nisipojua, amekwisha kuandika mkononi mwake jina langu, ndio upedo wake mkuu. 4. Ee Baba yangu u mwema, nami nataka kufanya kama malaika wafanyavyo mbinguni kwako milele!.