Return to Index

142

143

Nchi nzuri yametameta

144
SongInstrumental
	

1. Nchi nzuri yametameta, Huonekana kule mbali, Naye Yesu hutuongoza. Tukafike na sisi huko. Sisi mbali, karibu, Tutaimba na sisi huko! 2. Kule tutawaona wengi Wapendwao na Yesu Bwana, Tutashirikiana nao Itakuwa furaha kubwa. Si mbali.. 3. Tutamwona na Bwana Wetu, Yesu kristo mwokozi Wetu, Tutashangilia daima, Tuna hamu ya kwenda Kwetu. Si mbali..