Return to Index

143

144

Mbele ninaendelea

145
SongInstrumental
	

1. Mbele ninaendelea, ninazidi kutembea. Maombi uyasikie, Ee Bwana, unipandishe. Ee, Bwana, uniinue, Kwa imani nisimame; Nipande milima yote, Ee Bwana, Unipandishe. 2. Sina tamani nikae, Mahali pa shaka, kamwe; Hapo wengi wanakaa, Kuendelea naomba. 3. Nisikae duniani, asumbuapo Shetani; Natazamia mbinguni, nitafika na imani. 4. Nataka nipandishwe juu, Zaidi yale mawingu. Nitaomba nifikishwe, Ee Bwana unipandishe.