Return to Index

153

154

Bariki yote yawe mema

155
SongInstrumental
	

1. Bariki yote yawe mema, yote yawe mbaraka. Watu wa nchi za duniani, uwajaze utukufu. Kaa kwetu, Bwana, bariki. Uamini wee ee ndugu kweli yake Kristo. Jaa utukufu wa Bwana siku zako zote. Vaa Mwokozi ee na kweli yake, Haleluya. 2. Nyumba za wote zibariki kwa Jina lako takata. Ujaze utukufu wako, nchi zote dunia, Kaa kwetu, Bwana… 3. Nyosha mkono ubariki, waliojiunga nawe. Wakupokee maishani, watunzwe nawe milele. Kaa kwetu, Bwana….. 4. Bwana yatunze mambo yote yaliyo mazuri kwako Uwape wote wakuombao, wafanikishe maisha. Kaa kwetu Bwana….