Return to Index

152

153

Nimepita ulimwengu

154
SongInstrumental
	

1. Nimepita ulimwengu, ulimwengu ni mzuri, lakini natamani ulimwengu mwingine. 2. Nimeona watu wengi, hutafuta daima Maisha yao yote, ndiyo taabu na shida. 3. Imebaki hali njema ya furaha ya roho: Hubirini popote; taabu itatulia. 4. Msalabani pa Golgota jerahani mwa Yesu ni mahali penye raha kwao wote kabisa.