Return to Index

151

152

Uliyesulubishwa

153
SongInstrumental
	

1. Uliyesulubishwa, Mtakatifu Bwanangu, Uwe ngao shidani, uniombee mimi. Uliyesulubishwa, Mtakatifu Bwanangu! 2. Wongofu sina hata, niondolee makosa. Mwovu akinishtaki nasumbuka rohoni. Wongofu sina hata, niondolee makosa. 3. Wewe tu nipokee, nakukumbilia wee. Hata nifanye bidii, nikatoe machozi. Wewe tu nipokee, nakukimbilia wewe 4. Uwe ngao shidani, Niombee na mimi! Hapa nikiumizwa, Saa ya mwisho ikija: Uwe ngao shidani, Niombee na mimi!