150 |
151Usiku mtakatifu! |
152 |
Song | Instrumental |
1. Usiku mtakatifu! Wengine walala Wakeshao ni Yosefu tu na Maria waliomlinda Yesu mwana mzuri Yesu mwana mzuri 2. Usiku mtakatifu! Wachunga wapewa habari nzuri na malaika, zienezwe popote sasa: Yesu Mponya kaja Yesu Mponya kaja. 3. Usiku mtakatifu! Siku ya furaha imetuangaza Kimungu tumepewa ukombozi Kristo amefika Kristo amefika.