Return to Index

41

42

Kivulini mwa Yesu kuna Kituo:

43
SongInstrumental
	

1. Kivulini mwa Yesu kuna Kituo: Kituo mbali na hamu, kituo kilicho tamu. Kivulini mwa Yesu kuna kituo; kivulini mwa Yesu kuna kituo; Raha tu, mle; amani tupu, Furaha tele; kivulini mwa Yesu Raha tu, mle; amani tupu, Furaha tele; kivulini mwa Yesu. 2. Kivulini mwa Yesu nina amani Iliyopita fahamu, tena itakayodumu. 3. Kivulini mwa Yesu, nina furaha; Furaha yenye fahari, ya kueneza habari.