Return to Index

65

66

Po pote mashamba yajaa

67
SongInstrumental
	

1. Po pote mashamba yajaa, Tele nafaka pevu, Po pote yang’aa meupe Bondeni na nyandani. Mwenye mavuno, wasihi Upeleke wavuni, Wakusanye mazao, Hata kazi iishe. 2. Wapeleke uchaoni, Waende na jotoni, Mpaka jua lishukapo Wakusanye ko kote. 3. Watenda kazi wa Bwana, Mlete sasa mazao, Na jioni ingieni Kwake na furaha kuu.