Return to Index

71

72

Twendeni! Haraka! Tupeleke Neno

73
SongInstrumental
	

1. Twendeni! Haraka! Tupeleke Neno Liwe mwanga kwa nchi zilizo giza. Bwana alisema nendeni po pote Kawafundisheni mataifa yote. Pelekeni Injili kwa jina la Yesu. Upesi! Twendeni haraka! 2. Twendeni! Haraka! Tupeleke Neno La upendo wa Mungu kwa watu wote; Aliyeupenda sana ulimwengu Akamtoa Yesu Mwana wake pekee Kaleta wokovu, tumtangazeni. Upesi! Twendeni haraka! 3. Twendeni! Haraka! Tupeleke Neno La uzima kwa watu waliokufa. Mateka ya Shetani litafungua Litaponyesha na kuwapa amani. Twendeni upesi, tukawaokoe. Upesi! Twendeni haraka!