Return to Index

72

73

Yesu zama Bethilehemu

74
SongInstrumental
	

1. Yesu zama Bethilehemu, Aliyezaliwa kwa aibu, Ndiye mwakozi wa ulimwengu, Akaja kwa mimi. Akaja kwa mimi; akaja kwa mimi; Ndiye mwaokozi wa ulimwengu, Akaja kwa mimi. 2. Yesu akafa msalabani, Kuniponya akalipa deni, Ni la ajabu ya jinsi gani Kunifia mimi! Kunifia mimi! Kunifia mimi! Ni la ajabu ya jinsi gani Kunifia mimi. 3. Ni yeye huyo tangu asili; Na nilipotanga-tanga mbali Alikuja kwa upole, kweli Kuniita mimi. Kuniita mimi; Kuniita mimi; Alikuja kwa upole, kweli Kuniita mimi 4. Yesu kristo atarudi tena, Hilo lanifurahisha sana. Yeye Bwana akionekana Kunijia mimi. Kunijia mimi, kunijia mimi, Yeye Bwana akionekana Kunijia mimi