Return to Index

83

84

Niwonapo mti bora

85
SongInstrumental
	

1. Niwonapo mti bora Kristo aliponifia Kwangu pato ni hasara Kiburi nakichukia. 2. Na nisijivune, Bwana Ila kwa mauti yako; Upuzi sitaki tena, Ni chini ya damu yako. 3. Tangu kichwa hata nyayo, Zamwagwa pendo na hamu, Ndako pweke hamu hiyo, Pendo zako zimetimia. 4. Vitu vyote vya dunia, Si sadaka ya kutosha; Pendo zako zinawia Nafsi, mali, na maisha.