Return to Index

97

98

Huyo ndiye! anaskuka

99
SongInstrumental
	

1. Huyo ndiye! anaskuka, Aliyetufilia, Wengi waliookoka, Wakimfurahia, Aleluya! Yesu aturudia. 2. Sote tutamtazama, Amekaa kitini, Nao waliomcoma, Kumkaza mtini, Na kilio, wamuone enzini. 3. Alama za kifo chake Hata sasa anazo Na waaminifu wake Wapendezewa nazo. Alipata, Kwetu alama hizo. 4. Wokovu utakiwao Sasa wapatikana, Na watakatifu hao Mbinguni wakutana Kumlaki, Ndiyo siku ya Bwana 5. Wakusujudie wote Mbele ya kiti chako. Zako, Bwana, nguvu zote Itwae milki yako Njoo Bwana, Sisi tu watu wako.