Return to Index

114

115

Kilima kando ya mji

116
SongInstrumental
	

1. Kilima kando ya mji Alikufa Bwana; Kuokoa wakosaji Akateswa sana. 2. Kabisa hayasemeki, Mateso dhaifu Alikufa mwenye Haki Tupate wokovu. 3. Alimwaga damu yake Ili tuwe wema, Tufae kukaa kwake Mbinguni daima. 4. Hatuna mwenye imani Aliye na haki, Wa kutosha yetu deni, Rafiki Yesu tu. 5. Alijua peke yake Kufungu Mbingu Ufunguo damu yake Kondoo wa Mungu. 6. Aliyetupenda hivyo Nasi tumpende, Tukamtumai vivyo Na kazi tutende.