Return to Index

115

116

Bwana u sehemu yangu

117
SongInstrumental
	

1. Bwana u sehemu yangu, Rafiki yangu wewe; Katika safari yangu Tatembea na wewe; Pamoja na wewe, Pamoja na wewe, Katika safari yangu Tatembea na wewe. 2. Mali hapa sikutaka, Ili niheshimiwe, Na yanikute mashaka Sawa sawa na wewe, Pamoja na wewe, Pamoja na wewe, Heri nikute mashaka Sawasawa na wewe. 3. Niongoze safarini, Mbele unichukue Mlangoni kwa Mbinguni Niingie na wewe. Pamoja na wewe, Pamoja na wewe, Mlangoni kwa mbinguni, Niingie na wewe.