Return to Index

117

118

Ni ujumbe wa Bwana Aleluya!

119
SongInstrumental
	

1. Ni ujumbe wa Bwana, Aleluya! wa maisha ya daima, Amenena mwenyewe, Aleluya! Utaishi ukitazama. Tazama, ishi sasa! Kumtazama Yesu, Amenena mwenyewe, Aleluya! Utaishi ukitazama. 2. Ni ujumbe wa wema, Aleluya! Nawe shika, rafiki yangu! Ni habari ya raha Aleluya! Mwenye kuinena ni Mungu. 3. Uzima wa daima,Aleluya ! Kwake Yesu utauona. ukimtazama tu, Aleluya! Wokovu u pweke kwa Bwana.