Return to Index

118

119

Si damu ya nyama

120
SongInstrumental
	

1. Si damu ya nyama Iliyomwagika Iwezayo kuondoa Dhambi za wakosa. 2. Yeye Bwana Yesu Sadaka ya Mungu, Mwenye damu ya thamani, Ni mwokozi kweli. 3. Kwa imani yangu, Namshika yeye, Naziweka dhambi zangu Juu ya kichwa chake. 4. Mzigo wa dhambi Sichukui tena, Ameuchukua yeye, Juu ya msalaba. 5. Bwana Yesu ndiye, Mwokozi wa kweli Tumsifu siku zote, Twapata uhuru.