Return to Index

145

146

Neno la Mungu takata

147
SongInstrumental
	

1. Neno la Mungu takata Lililotoka mbinguni; Ambalo moto na panga Haziwezi kulishinda. /:Twakushika siku zote Maishani na kufani. :/ 2. Waliotutangulia Waliokutegemea, Wamekufia mashujaa; Nasi tulio watoto. Twakushika … 3. Neno la Mungu takata, Tukushuhudie nasi Kwa neno tamu na tendo Kunako wenzi au adui. Twakushika …