Return to Index

156

157

Kijito cha utakaso

158
SongInstrumental
	

1. Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu, Bwana anao uwezo kunipa wokovu Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso 2. Viumbe vipya naona; damu ina nguvu, imeharibu uovu ulionidhulumu 3. Naondoka kutembea nuruni mwa mbingu, Na moyo safi kabisa kumpendeza Mungu. 4. Ni neema ya ajabu kupakwa na damu; na Bwana Yesu kumjua Yesu wa Msalaba.