Return to Index

157

158

Aniongoza popote

159
SongInstrumental
	

1. Aniongoza popote NimwandameSiku zote Mapenzi yake ni heri Yalitimizwa kalvari. 2. Nitaongozwa na Bwana Usiku kucha na mchana Yesu rafiki wa heri Ninakumbuka kalvari. 3. Lanitosha neno lake Nishikwe na mkono wake Mapenzi yake ni heri Yalitimizwa kalvari 4. Nitaendelea mbele Pamoja naye milele Pendo lake ni hiyari Bwana Yesu wa Kalvari