Return to Index

158

159

Ushirika mkuu furaha yangu

160
SongInstrumental
	

1. Ushirika mkuu, furaha yangu, Kumtegemea Bwana Yesu, Nina baraka, amani pia, Kumtegemea Bwana Yesu. Raha, Raha, Nina raha na salama, Raha, Raha, kwa kumtegemea Yesu. 2. Ni halisi kutembea naye, Kwa kumtegemea Yesu. Naona nuru njiani mwangu, Kumtegemea Bwana Yesu. 3. Sioni shaka wala hasara, Kumtegemea Bwana Yesu; Nina amanikwake Mwolozi, Kumtegemea Bwana Yesu.