Return to Index

15

16

Kumtegemea Mwokozi

17
SongInstrumental
	

1. Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa; Kukubali neno lake Nina raha moyoni. Yesu,Yesu namwamini, Nimemwona thabiti; Yesu,Yesu,yu thamani, Ahadi zake kweli. 2. Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa, Kuamini damu yake Nimeoshwa kamili. 3. Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa, Kwake daima napata Uzima na amani. 4. Nafurahi kwa sababu Nimekutegemea; Yesu,Mpendwa na Rafiki Uwe nami dawamu.*