Return to Index

26

27

Mungu ni pendo apenda watu;

28
SongInstrumental
	

1. Mungu ni pendo, apenda watu; Mungu ni pendo, anipenda Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo, anipenda. 2. Nilipotea katika dhambi, Nikawa mtumwa wa shetani. 3. Akaja Yesu kuniokoa, Yeye kanipa kuwa huru 4. Sababu hii namtumikia, Namsifu yeye siku zote.