Return to Index

27

28

Anipenda ni kweli;

29
SongInstrumental
	

1. Anipenda ni kweli; Mungu anena hili; Sisi wake watoto; kutulinda si zito. Yesu anipenda, Yesu anipenda, Kweli anipenda, Mungu amesema. 2. Kwa kupenda akafa Niokoke na kufa; Atazidi taka, Sana ataniweka. 3. Anipenda kabisa; Niuguapo sasa Anitunza Mbinguni Nniliyelala chini. 4. Kunipenda haachi, Tu sote hapa chini Baada ya mashaka Kwake tanipeleka.