Return to Index

31

32

Yesu awakubali

33
SongInstrumental
	

1. Yesu awakubali, Wakosa, wahalifu, Wambieni wa mbali Habari ya wokovu. Tangazeni kwa bidii, “Akubali wakosa!” Liwe neno dhahiri, “Akubali wakosa!” 2. Awakubali Bwana Neno lake amini Watu kila aina Waje kwake tengoni. 3. Mimi ni safi moyo Na mbele ya sharia, Aliye safi roho Kwake ilitimia. 4. Akubali wakosa; Nami anikubali; Alivyonitakasa Mbinguni niwasili.