Return to Index

32

33

Dhambi ikikulemea

34
SongInstrumental
	

1. Dhambi ikikulemea, Kwa Bwana rehema; Hivi sasa tegemea Neno la salama. Tegemea, tegemea, akwita sasa. Ni Mwokozi, ni Mwokozi; amini sasa. 2. Yesu amemwaga damu Ya nyingi baraka; Nawe sasa oga mumu Zioshwamo taka. 3. Ni njia yeye hakika Hwongoza rahani; Usikawe kumshika, Uwe barakani. 4. Karibu nawe wingie Mwetu safarini, Twende tukamwamkie, Milele Mbinguni.