Return to Index

6

7

Ni tabibu wa karibu;

8
SongInstrumental
	

1. Ni tabibu wa karibu; Tabibu wa ajabu; Na rehema za daima; Ni dawa yake njema. Imbeni, malaika, Sifa za Yesu Bwana; Pweke limetukuka Jina lake Yesu. 2. Hatufai kuwa hai, Wala hatutumai, Ila kweli yeye ndiye Atupumzishaye. 3. Dhambi pia na hatia Ametuchukulia; Twenendeni na amani Hata kwake Mbinguni. 4. Huliona tamu jina La Yesu Kristo Bwana, Yuna sifa mwenye kufa Asishindwe na kufa. 5. Kila mume asimame, Sifa zake zivume; Wanawake na washike Kusifu jina lake. 6. Na vijana wote tena, Wampendao sana Waje kwake wawe wake Kwa utumishi wake