Return to Index

81

82

Sioni haya kwa Bwana

83
SongInstrumental
	

1. Sioni haya kwa Bwana Kwake nitang’ara! Mti wake sitakana, Ni neno imara! Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo; Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo. 2. Kama kiti chake vivyo Ni yake ahadi, Alivyowekewa navyo Kamwe havirudi. 3. Bwana wangu, tena Mungu Ndilo lake jina! Hataacha roho yangu Wala kunikana. 4. Atakiri langu jina, Mbele za Babaye, Anipe pahali tena Mbinguni nikae.